Soko mtandao.

Kupitia Bantu, unaweza kutangaza bidhaa na huduma unazotoa na kuwasiliana moja kwa moja na wateja, na kufanya biashara bila vikwazo.

Tangaza bila kikomo

Chapisha picha na video za matangazo ya bidhaa au huduma bila kikomo na kufikia wateja watarajiwa.

Bantu Deliva

Huduma ya ufikishaji wa vifurishi, kutuma na kupoka bidhaa kutoka kwa muuzaji.

Wasiliana moja kwa moja

Wasiliana na muuzaji au mteja kwa kumtumia jumbe fupi.

— Jukwaa moja

Soko moja

Ongeza wigo na kufikia mamilioni ya wateja kwa kutangaza biashara na huduma zako kupitia Bantu Soko.

Bantu Soko
— Jukwaa moja

Soko huru

Tafuta chochote kukutoka kwa wauzaji tofauti na uweze kuwasilina na muuzaji moja kwa moja.

Bantu Soko

Mipango

Mipango kuboosti matangazo ili kufikia wateja wengi na kuboresha mwonekano wao na ushindani.

PRO

TZS 35,500 /mwezi
  • Tanganza bila kikomo
  • Fikia wateja x5 zaidi
  • Kipengele ca tafadhali nipigie kwa wateja wako
  • Dokezo la mahitaji mtaani x1 kwa wiki

PRO MAX

TZS 53,000 /mwezi
  • Tanganza bila kikomo
  • Fikia wateja x15 zaidi
  • Kipengele cha tafadhali nipigie kwa wateja wako
  • Dokezo la mahitaji mtaani x3 kwa wiki.
Okoa 20%

PRO

TZS 340,000 /mwaka
  • Tanganza bila kikomo
  • Fikia wateja x5 zaidi
  • Kipengele cha tafadhali nipigie kwa wateja wako
  • Pata dokezo la mahitaji mtaani
Okoa 30%

PRO MAX

TZS 445,000 /mwaka
  • Tanganza bila kikomo
  • Fikia wateja x15 zaidi
  • Kipengele cha tafadhali nipigie kwa wateja wako
  • Dokezo la mahitaji mtaani x3 kwa wiki.